Skip to main content

Posts

KUGHAIRISHA KWENYE FAIDA

Kughairisha mambo ndio tabia ambayo inaongoza kusababisha watu wengi kutofikia malengo yao kuliko tabia nyingine yeyote, pia tabia ambayo ni ngumu sana kuiacha kama umekwisha kuwa nayo. Kughairisha mambo hutokana na sababu mbalimbali, sababu kuu ikiwa ni kukosa motisha au msukumo wa ndani yako kufanya jambo, pia sababu nyingine kubwa ni kutopangilia mambo yako binafsi. Watu wengi sana huamini kughairisha ni kitu kibaya kabisa katika maisha, jambo ambalo sio kweli. Uzuri au ubaya wa kughairisha hutegemea jambo unaloghairisha, wakati unaoghairisha, na sababu ya kughairisha. Mara nyingi kughairisha hugharimu pale unapoghairisha kwa kutojisikia kufanya jambo bila sababu yoyote (uvivu wa kufanya). Je, unawezaje kupata faida kwa kughairisha? Mwandishi Brian Tracy katika kitabu chake cha Eat that Frog anasema, Kila mtu hughairisha lakini kinachotofautisha kati ya watu wanaofanikiwa na wasiofanikiwa ni katika mambo wanyoghairisha, wengi wasiofanikiwa hughairisha mambo ambayo huc...

SILAHA YA KUTOLAUMU KUFIKIA MAFANIKIO.

Kila jambo unalolifanya duniani linakuwa na asilimia kadhaa ya kushindwa, ndio maana watu huwa na plani B. Unaweza kufanya jambo kwa uhakika kabisa lakini kitu kidogo sana kikakufanya ushindwe, na hii ndio inafanya watu wafanye vitu kwa umakini na kufikiria sana hasa pale ambapo unania ya kufanikiwa katika mambo yako. Lakini muda mwingine unaweza kuwa umefanya jambo kwa umakini sana bila kukosea lakini ukashindwa kwasababu za mtu mwingine ambae mlikuwa mnashirikiana nae huenda ni kwa uzembe au bahati mbaya lakini mambo ndio yameharibika.  Lawama Katika hali kama hii ndipo watu huanza kutupiana lawama, huyu anamwambia mwingine “Unaona uzembe wako umetutia hasara”, Yule pia anatafuta sababu ya yeye kukosea, anaweza akatupia mpira kwa mwingine au la akalaumu vifaa alivyotumia au miundombinu, ilimradi asionekane mkosaji. Katika kampuni au madaraka Fulani watu hupenda kuwatupia lawama watu wa chini yao kimadaraka, lawama hizi huenda ngazi kwa ngazi mpaka kumfikia mtu wa ...

50 REASONS TO READ BOOKS FROM SPEAKING TREE BLOG

Join more than a thousand readers 1. Books help to feel more confident. 2. Books help to travel around the world in the cheapest way. 3. Books develop your personality. 4. Books provide food for thought. 5. Books make you laugh and think. 6. Books draw you towards perfection. 7. Books stimulate creativity. 8. Books bring out writing talent. 9. Books help in communicating. 10. Books clear your vision. 11. Books satisfy your curiosity. 12. Books help you make more choices. 13. Books help you build literary talent. 14. Books do not require any special device to teach. 15. Books increase your attention span. 16. Books are fruitful pastime. 17. Books can be used anytime, anywhere. 18. Books provide entertainment, when others fail. 19. Books make you powerful. 20. Books help you know the 'Whys' and 'Hows' of everything. 21. Books help you to create and spread fun. 22. Books help you travel across time intelligently. 23. Books keep you updated with f...

10 Self Development Books Youth Should Read.

1.       The Power of Now by Eckhart Tolle. The Power of Now is a spiritual inspirational book, which will inspire you on your spiritual journey to find true and deepest self and reach the ultimate in personal growth and spirituality. Eckhart Tolle shows how to move past pain, stress, and anxiety while balancing your life by living it moment to moment. The Power of Now is one of those rare books with the power to create an experience in readers, one that can change your life positively.  2.       Think and Grow Rich by Napoleon Hill   This book was published in 1937, during the Great Depression. It is one of Hill’s best books, very realistic with true life illustrations. It explains steps to follow to become wealthy and things to avoid. Get it and read you will get your mind flashed. 3.       The Alchemist by Paulo Coelho This is a novel of magical story of Santiago which ...

KWANINI HOMA YA MAFUA HUENEA KWA HARAKA MSIMU WA BARIDI?

Homa ya mafua ni ugonjwa unasababishwa na kirusi anaefahamika kwa jina la Influenza ambae hushambulia mfumo wa upumuaji. Homa ya mafua huenezwa kwa njia ya hewa kupitia kupiga chafya na kukohoa pia hushambulia sana watoto chini ya miaka mitano, wazee   zaidi ya miaka 65, wajawazito na watu wenye upungufu wa kinga mwilini. Homa huja kwa msimu na msimu wa baridi ndio wakati wake mwafaka, kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania msimu wa baridi upo kati ya mwezi Aprili hadi Septemba. Kwanini Homa ya mafua huenea sana kipindi cha baridi? Chuo kikuu cha Harvard (moja ya vyuo vikuu bora duniani) kilichapisha katika tovuti yao nadharia zinazosadifu homa ya mafua kuenea sana msimu wa baridi:- Kirusi aina ya Influenza (anaesababisha Homa ya mafua) hupendelea mazingira ya baridi na makavu, hivyo msimu wa baridi ni msimu mzuri kwake. Katika msimu wa baridi watu wengi hupenda kujifungia ndani (kukaa madirisha na milango imefungwa) hivyo husababisha mzunguko mdogo wa hewa...

CHORA TASWIRA YA MAISHA YAKO

Kila mchoraji kabla ya kuchora picha huwa na taswira ya picha hiyo akilini mwake, kisha huamua kubadili taswira ile kuwa mchoro. Ndivyo yalivyo maisha yetu ya kila siku, akilini mwako unakuwa na ndoto nyingi za maisha ambazo kwa muda huo ni taswira tu iliyopo akilini mwako unahitaji kuamua na kuchukua vifaa na zana na kuanza kubadili taswira hiyo kuwa mchoro halisi yaani upange mipango na kuitekeleza ili ufikie ndoto zako za kimaisha. Kila mtu akilini mwake ana taswira ya pekee ya maisha anayoyapanga na kuyapigania ili ayafikie. Kama ilivyo kwamba mchoraji hawezi kuwa na taswira au kuchora kituambacho hajawahi kusikia wala kuona vivyo hivyo katika maisha ya binadamu taswira ya maisha yako hujengwa na taarifa unazozijua au kuzisikia kuhusu maisha.   Ubora wa taswira uliyonayo kichwani hutegemea taarifa ulizonazo juu ya maisha kama una taarifa sahihi kuhusu maisha basi akili yako pia itajenga taswira bora ya maisha na vivyo hivyo hujenga taswira isiyo na ubora kama huna taarifa za...

SET UP YOUR MILESTONES.

Success is an infinite thing that is defined by people in their own aspect, your success can be not a success to someone else and vice versa always applies, though sometimes different people can have similar aspect of defining their success. I always believe that success is a result of   various   tributaries as someone have to work on Time management, planning, Budgeting, abandon some of   lifestyles etc, of course it is a long and complex process such   that you can’t sleep and wake up with success.   As you work along the tributaries of your goal you have to set up milestones, you have to mark some important points where you will change something in your working plan. Why set up your milestones? It makes you’re your goal tiny, you will have to work on small steps and simplify it. On working on simple steps you will manage your time budget and other stuffs as you will not need to work for whole day or need much financial materials to complete a st...

JOIN US ON TELEGRAM

JOIN US ON TELEGRAM
Join a thousand readers on telegram channel, start a reading habit, get inspired, motivated and learn to win in life.Click on the Image join us