Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2017

MOJA YA MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOPANGA RATIBA YAKO

Kuna mambo mengi madogo madogo lakini ya MUHIMU katika kutimiza mambo yako ya kila siku, mambo hayo wengi hawayatilii maanani aidha kwakuwa hawajui umuhimu wake au wanayapuuza. Mimi huwa namfananisha mtu mwenye ndoto au malengo kama DEREVA na ndoto yake au malengo yake ni kama MZIGO ambao inabidi aufikishe sehemu husika. Kila Dereva huwa anatamani awahi kufika anakoelekea ili apate mshahara wake, shauku ya zawadi au mshahara wake ndiyo inayomfanya afanye juhudi kwa nguvu na ujuzi alionao ili afikishe mzigo kwa wakati mwafaka. Lakini njiani anazingatia alama mbalimbali za barabarani zinazomuongoza afike salama. Hata katika maisha yetu kuna mambo mbalimbali tunayotakiwa tuyatumie ili kufika salama na pia kwa wakati, mambo haya yanatupa tahadhari juu ya yaliyo mbele yetu. Je, katika mipango yako ya maisha iwe biashara, kilimo, Elimu, Sanaa yako huwa unahusisha na taarifa za utabiri wa mamlaka za sekta husika. Wewe ni mkulima je unafuatilia matangazo na tahadhari zinazotolewa n...

UKIWA MTU WA KIPEKEE/WA TOFAUTI.

Umewahi kujiuliza ni kitu gani cha pekee ambacho kinakutambulisha katika jamii unayoishi?. Kuna watu katika jamii yoyote wanakuwa maarufu kwa tabia au matendo ya tofauti, wakati mwingine wanapewa mjina ya utani kutokana na matendo au tabia hizo. Ukiwachunguza kwa makini hata katika utendaji wao wa majukumu mbalimbali huwa ni wa tofauti sana na watu wengine, wao mara nyingi huwa na upekee katika mambo yao. Je, wewe utofauti wako ni upi katika matendo, mawazo, na malengo yako? Katika nyakati hizi ambazo utandawazi na tekinolojia vimetawala sana, habari na taarifa zinaenea kwa haraka sana na kufanya mambo mengi kuwa ya wazi zaidi, ushabiki wa watu maarufu umeongezeka na kuenea sana. Katika mambo ambayo yameenda sambamba na kuenea na kukua kwa utandawazi ni KUIGA/KUFUATISHA. Watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kwa kuiga au kufuata watu maarufu au watu wengine wanaowaamini, muda mwingine mpaka watu wanashindwa kuwatofautisha kuanzia mavazi mpaka matendo mtu anaiga. Kuna usemi niliua...

CHEMISTRY PRACTICALS

Download an article on Preparation Of Solutions for Titration (Chemistry) PDF DOWNLOAD

MAMBO MUHIMU KWAKO KIJANA WA LEO.

Habari, najua kama wewe ni kijana kuna wakati unafika unawaza ni njia gani utumie ili ufikie malengo yako. Kila mtu anawaza kufanikiwa kuwa na maisha mazuri kujenga familia bora kutunza wazazi wake vizuri n.k. Mafanikio ya malengo yako hayawezi kupatikana kwa kufanya jambo moja, lazima ufanye mambo mengi mazuri ili mwisho ufike mahali ambapo ulitarajia kufika. Hapa nimekuwekea baadhi ya mambo muhimu yanayoweza kuwa na mchango mkubwa katika safari yako kkuelekea kwenye mafanikio. Upekee. Katika dunia ya sasa yenye maendeleo na mapinduzi katika kila sekta, hakuna kazi au talanta(kipaji) ambacho kina watu wachache kila kazi au talanta ina watu wengi na ushindani mkubwa. Jambo la pekee linaloweza kukusaidia kwa sasa ni upekee, fanya kazi au talanta yako lakini kwa ubora na upekee na ubunifu wa hali ya juu kiasi kwamba utawavutia watu na kushinda ushindani uliopo. Albert Einstein aliwahi kusema “The woman who follows the crowd will usually go no further than the crowd. The woman who wa...

JOIN US ON TELEGRAM

JOIN US ON TELEGRAM
Join a thousand readers on telegram channel, start a reading habit, get inspired, motivated and learn to win in life.Click on the Image join us