Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2017

JAMBO AMBALO LINAVURUGA MIPANGO YA WATU WENGI

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza sana hili swali; Ndugu yangu wa damu amekataa kunisaidia, sijui nitapata wapi msaada wa kukamilisha huu mpango wangu?   Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza pale ambapo mtu waliemtegemea anaposhindwa kuwasaidia na hufanya watu kuzunguka na kuomba ushauri kwa watu wengine. Leo nimeona nikushirikishe hili somo natumaini   litakuwa na mafanikio makubwa   katika kupanga na kutimiza mipango mingi.                 Je, ni mambo gani ambayo unatakiwa ujiandae kabla hujaanza mradi au mpango wako? Katika kufanya jambo lolote   lazima ujiandae na kukamilisha maandalizi hayo ndipo uanze jambo lenyewe; a)       Fanya utafiti na kamilisha mahitaji yote utakayotumia katika mradi au mpango wako. b)       Kuandaa namna ya kukabilian na changamoto zitakazojitokeza katikati ya mpango wako c)      ...

JOIN US ON TELEGRAM

JOIN US ON TELEGRAM
Join a thousand readers on telegram channel, start a reading habit, get inspired, motivated and learn to win in life.Click on the Image join us